Ruka hadi maudhui

Taasisi: RITA

Cheti cha kuzaliwa au kifo (RITA)

Omba cheti kipya cha kuzaliwa au kifo, badilisha cheti cha zamani au hakiki cheti kupitia eRITA.

Fungua tovuti rasmi erita.rita.go.tz

Nyaraka za kuandaa

  • Taarifa ya kuzaliwa ya mtoto (notification) iliyoskaniwa
  • Taarifa za wazazi

Hatua za kufuata

Weka alama kila hatua ukimaliza. Inahifadhiwa kwenye simu yako tu.

0 kati ya 5 zimekamilika

Huduma zinazohusiana