Ruka hadi maudhui

Taasisi: Uhamiaji

Pasipoti (Uhamiaji)

Omba pasipoti ya kielektroniki mtandaoni, kisha peleka fomu ofisi ya Uhamiaji.

Fungua tovuti rasmi eservices.immigration.go.tz

Nyaraka za kuandaa

  • Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji
  • Cheti/kiapo cha kuzaliwa cha mzazi
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Picha ya hivi karibuni yenye mandharinyuma ya buluu hafifu
  • Ushahidi wa safari au shughuli unayofanya

Hatua za kufuata

Weka alama kila hatua ukimaliza. Inahifadhiwa kwenye simu yako tu.

0 kati ya 6 zimekamilika

Huduma zinazohusiana