Ruka hadi maudhui

Taasisi: Wizara ya Fedha

Malipo ya serikali (GePG / control number)

Lipa ada au bili yoyote ya serikali kwa control number kupitia simu, benki au app ya GePG.

Fungua tovuti rasmi epay.gepg.go.tz

Nyaraka za kuandaa

  • Control number kutoka kwa taasisi inayokudai

Hatua za kufuata

Weka alama kila hatua ukimaliza. Inahifadhiwa kwenye simu yako tu.

0 kati ya 4 zimekamilika

Huduma zinazohusiana